Katika pitapita za kutafuta Habari, nilikutana na watoto hawa wanaosoma shule ya msingi. Niliwahoji kwani walionekan kama vile wanatafuta kitu katika maeneo mbalimbali kuzunguka nyumba.
Baada ya kuwahoji wakasema wanatafuta VIFUNIKO VYA SODA AU BIA (VISODA) kwa ajili ya kuhesabia shuleni.
Wakasema wameambiwa watafute visoda vya kuhesabia shuleni.
"
Tunasaka vifuniko vya soda (visoda) kwa ajili ya kujifunzia kuhesabu shuleni"
Shule na Kidumu , Ufagio na Visoda vya kuhesabia
Tumetoka mbali sana...