HII NDIO HALI YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOJIUNGA NA JKT, ANGALIA MWONEKANO WA WAKIWA MAFUNZONI...!!
Hawa ni wanaume wakirushwa kichura na kamanda wa mafunzo, huko c mchezo......
Hawa ni mabinti, wakiwa mazoezini..........mmh hakuna kuwa na nywele hata moja wote ni vipara, Kweli Jeshi si mchezo, urembo na usista duu wote kwisha.
No comments:
Post a Comment