Hata haya
sikuizi yanafanyika hadharani?????
Wakati wengine
wakishangilia na kufurahia mabao wa mpira uwanjani, Huyu jamaa naye anafunga
magoli yake katika uwanja wa siri.
Usiniulize kafunga
mangapi, kwani mchezo wake haukua na MPIRA, KOCHA wala WAAMUZI lakini cha
kushangaza alikua akitokwa jasho jembambaaaaa.
Haya kazi
kwako wewe, sijui huu mchezo wauonaje na Je kwa nini wakachezee kwenye uwanja
wa Mchezo mwingine…………….??????
Au sekta
hiyo haiwezi kujenga uwanja wake…………….??????
Nazani
umeelewa………

No comments:
Post a Comment