Thursday, April 25, 2013

IDADI YA WALIOKUFA DHAKA, BANGLADESH KUFIKIA 161


Idadi ya waliokufa kutokana kuporomoka kwa Jengo huko Dhaka, Bangladesh imeongezeka na kufikia watu 161. Habari hizi zimetolewa na maafisa wa Habari wa serikali.

No comments:

Post a Comment