Thursday, April 25, 2013

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LA KENYA "WANAWAKE 6 KATI YA MAWAZIRI 16"


Baada ya akipindi kirefu cha kusubiri nani atachaguliwa na nani ataachwa katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri. Hatimaye siku yenyewe imefika. Raisi wa KENYA Bwana UHURU KENYATA ametangaza majina 16 ili kukamilisha Baraza la Mawaziri la nchi hiyo.

 Katika idadi hiyo WANAWAKE wamepewa kipaumbele kwani kati ya NAFASI 16 WANAWAKE wamepewa nafasi 6. Ndani ya Kabinet akiwemo BALALA (Minerals minister)na CHARITY NGILU (Housing Minister)
Kwa mara ya KWANZA katika NCHI ya KENYA, Wizara ya ULINZI inaongozwa na Mwanamke ambaye ni RACHAEL OMAMO.

No comments:

Post a Comment