Thursday, April 25, 2013

BIASHARA YA UCHANGUDOA JIJI LA DAR

Machangudoa wakiwa katika viwanja vyao vya kujidai katika jiji la Dar.
Hili ni pozi la Kusubiria wateja, picha hii ilipigwa mida ya saa tatu usiku.
Bila shaka Biashara Hii serikali imeshindwa kuizuia kabisa.
Toa maoni yako nini kifanyike??????

Habari na Global Publishers..

No comments:

Post a Comment