Waungwana ….huku
duniani kuna VIJAMBO SANA!!!!!!
Kila mtu
anatafuta jinsi ya kuufanya moyo wake upate angalao cha kuufurahisha, lakini
kuna VIJAMBO vingine ni BONGE la maumivu ya moyo na wala si starehe hata
kidogo….
Huyu jamaa katika pitapita zake alisikia sauti
akazani LABDA wezi wamevamia katika nyumba
hiyo. Sasa katika kujaribu kuona jinsi gani anaweza kujua kulikoni, ikabidi
achungulie kwa Dirishani …………Mmmmh kilichompata Jamaa huyu ndo kama unavyoona
katika PICHA kwani alijikuta akitaka kutoboa
hata UKUTA kutokana na Hasira Loooh!!!!! HATARI
JAMANI, Sasa sijiu kama lile Dirisha lingekuwa wazi au pangekuwa ni Mlango
na ungekuwa wazi Huyu jamaa si angeuwa Mtu kweli???
Sasa ushauri
wa BURE ukisikia kilio cha watu ndani ya
nyumba yao usipende kuchungulia, kwani unaweza kujisababishia matatizo ya MOYO BUREEEE kama huyu jamaa.

No comments:
Post a Comment