Wednesday, May 29, 2013

WANAFUNZI WAKIPIGA KURA ZA SIRI ILI KUWAFICHUA WALIMU WANAOFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI SHULENI







KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili kuwafichua walimu wenye tabia ya kufanya mapenzi na wanafunzi wao shuleni hapo.

Uamuzi wa kupigwa kura hizo ulifikiwa hivi karibuni kwenye Kikao cha Baraza la Shule la Watoto ambacho kiliitishwa kwa lengo la kujadili vurugu zilizokuwa zikijitokeza shuleni hapo na kusababisha baadhi ya walimu kupigwa.

KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA PIGO KWA TAIFA.









Wednesday, May 15, 2013

MITANDAO YA KIJAMII KAMA FACEBOOK UATHIRI WATU KISAIKOLOJIA- SOMA HAPA"








 
Facebook, mitandao mingine ya kijamii pamoja na huduma ya ‘blackberry mesenger’ maarufu kama BBM huathiri watu kisaikolojia, husababisha ndoa kuvunjika pamoja na usaliti katika uhusiano, wanasayansi wamebaini.

Utafiti huo uliofanywa mwaka 2012 na wanasayansi wa nchini Israel umebaini kuwa kwa wastani, wanawake wanatumia dakika 81 katika mitandao ya kijamii kwa siku ukilinganisha na wanaume ambao hutumia dakika 64, huku watu wasio na elimu wakionekana kuathirika zaidi na mitandao hiyo.

Friday, May 10, 2013

MAAJABU: PICHA ZA MIZOGA YA MBUZI NANE WACHINJWA MAKABURINI USIKU WA MANANE MOROGORO


Katika hali isiyo ya kawaida tumepokea taarifa kutoka kwa wafanyakazi  wa manispaa kitengo cha makaburi ya kolla wakidai kwamba usiku wa manane wa kuamkia juzii mbuzi nane wamechinjwa eneo la makaburi ya kola mkoani morogoro

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Wiliam Lukuvi (Mb) ilitoa Kauli ya
Serikali Bungeni Kuhusu Taarifa ya Awali ya Tume ya Taifa ya Kuchunguza Sababu za kushuka kwa ufaulu wa Mtihani wa Kidato cha
Nne Mwaka 2012. 
Kauli ya Serikali ilielekeza kuwa matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne mwaka 2012 yafutwe na yaandaliwe upya kwa kutumia utaratibu uliotumika mwaka 2011 ili Wanafunzi hao wawe katika mazingira yanayofanana na ya wenzao wa miaka iliyopita kwa kuwa mfumo uliotumika mwaka 2012 katika kupanga matokeo na madaraja ni tofauti na ule uliotumika mwaka 2011 na miaka
iliyotangulia.

MAJINA 9 YA WATUHUMIWA WALIOLIPUA BOMU KANISANI-- ARUSHA


Imeripotiwa kuwa jumla ya watu 12 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa kutuhumiwa kuhusika na mlipuko wa bomu lililorushwa katika eneo la Kanisa la Mt Joseph Mfanyakazi katika parokia teule ya Olasiti siku ya Jumapili, Mei 5, 2013 na kusababisha vifo vya watu watatu na kujeruhi wengine zaidi ya 60.

Ripota wa WAPO FM radio alisema majina ya watuhumiwa hao yametajwa kuwa ni:-

  1. Victor Ambrose Calist (20, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
  2. Joseph Yusuph Lomayani (18, mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha)
  3. George Bartholomeo Silayo (26, mkazi wa Olasiti, Arusha)

PICHA ZA MAZISHI YA WALIOKUFA KATIKA MLIPUKO WA BOM KATIKA KANISA LA MT JOSEPH ARUSHA.

Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013. mazishi yaliyofanyika leo 

Thursday, May 9, 2013

HUYU NDIYE GAIDI ALIYERUSHA BOMU KANISANI, AFUNGA NA KUNENA MANENO MAZITO....SOMA HAPA..!!


Kijana aliyemkimbiza hadi kumkamata mtu anayedaiwa kuhusika na kulipua bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, jijini Arusha akiwaelezea wananchi ilivyokuwa.



ALIYEMKIMBIZA hadi kumkamata mtu anayedaiwa kuhusika na kulipua bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, jijini Arusha Jumapili iliyopita na kuua watu 3 na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ameibuka.
Kijana huyo ambaye wakati akizungumza na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari jijini Arusha juzi alisahau kutaja jina lake, alisema kuwa shughuli ya kumnasa mtuhumiwa huyo haikuwa lelemama hata kidogo.

WANAFUNZI WA UMBWE SEKONDARI WAGOMA KULA KWA MADAI YA KUTORIDHISHWA NA MKUU WAO SHULE...!!

MGOGORO umeibuka katika Shule ya Sekondari Umbwe kati ya wanafunzi wa kidato cha tano na uongozi wa shule hiyo hali iliyosababisha baadhi ya wanafunzi kugoma kula na kufanya maandamano wakishinikiza kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa lengo la kutatua kero zilizoko shuleni hapo.
Kutokana na mgogoro huo, Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahim Msengi aliyefika shuleni hapo kuutatua, alimtaka Ofisa Elimu Mkoa Kilimanjaro kupeleka wakaguzi katika shule

VIOJA VYA WANAFUNZI "KAMA HAKUNA NIDHAMU MASHULENI, MATOKEO YATAENDELEA KUFUTWA KILA MWAKA.....!!"




Kumekuwa  na   mvutano  mkubwa  kati  ya  wanataaluma  na  wanasiasa  kuhusu  suala  la  elimu  hapa  nchini.....
Wanataaluma  wengi  wanapinga  uamuzi  wa  serikali  kuyafuta  matokeo  ya  kidato  cha nne  kwa  madai  kwamba  hilo  siyo  suluhisho  la  la  tatizo ......

HII NDIO HALI YA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOJIUNGA NA JKT, ANGALIA MWONEKANO WA WAKIWA MAFUNZONI...!!



Hawa ni wanaume wakirushwa kichura na kamanda wa mafunzo, huko c mchezo......

VURUGU HUKO RUAHA WILAYA YA KILOSA

Taarifa nilizo zipata muda huu kutoka kwa mmoja wa wanakijiji cha Ruaha wilaya ya kilosa mkoani Morogoro zinaangaza kuwa kumetokea vurugu na mpaka muda huu mabomu yanarindima kila upande. Vurugu hizo zilizo sababisha kupigwa mabomu ni vurugu za kisiasa. 
Sababu za vurugu.
 
• Tarehe 24/4/2013 ulikuwa ufanyike uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji, mgombea wa Chadema alienguliwa na Afisa mtendaji wa kata ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa uchaguzi.
 

ALIYEKUWA MHASIBU MKUU WA JAMBO LEO AFARIKI DUNIA



Aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, marehemu Vick Mgoyo
****************************************
MHASIBU Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts (T) Limited inayochapisha gazeti la Jambo Leo, Staa Spoti, Dar Metro na jarida la Jambo Brand Tanzania, Vicky Mgoyo (49), amefariki dunia.

Tuesday, May 7, 2013

TCU WAKIFUNGIA CHUO CHA KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY ( KIU ) KWA KUTOKIDHI VIGEZO

CHUO CHA KIU-DCC KUSIMAMISHWA KUTOA MAFUNZO YA SHAHADA ZA UZAMILI NA UZAMIVU


Kampala International University, Kampasi ya Dar-es-Salaam (KIU-DCC) kilichopo Gongo la Mboto, Dar-Es-Salaam ni Chuo kilichopewa idhibati na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU). Kufuatia kuendesha mafunzo ya shahada ya Uzamili (Masters) na Shahada za Uzamivu (PhD) kinyume cha utaratibu na kutokua na wahadhiri wa kutosha wenye sifa stahili, Tume katika mkutano wake wa hivi karibuni ulikiamuru Kampala International University, Kampasi ya Dar-es-Salaam ifuatayo;
 

1. KIU isimamishe mara moja mafunzo yote ya shahada za juu (Postgraduate) ikiwa ni pamoja na Shahada za Uzamili (Masters) na Shahada za Uzamivu (PhD) katika kampasi ya Dar-es-Salaam.
 

JESHI LA TANZANIA LIMESHATUA CONGO.....WAASI WA M23 WAANZA KUHAHA KWA KUJIKOSHA KWA WANANCH



Kwa mujibu wa mwandishi aliye na waasi  wa  m23, Diana Katabarwa kwenye Blog yake  anamnukuu kiongozi wa kisiasa wa M23  Mr. Bisimwa akiwambia wakazi wa North Kivu kuwa majeshi ya Tanzania na South Africa nimajeshi dhalimu yaliyo jaa rushwa na hayawezi kuibadili Congo....

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KANISA LA OLASITI ARUSHA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KANISA PAMOJA NA WAUMINI.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.

HATIMAYE BALOZI WA PAPA AONDOKA ARUSHA.



Mwakilishi wa Papa akiwa na Askofu Lebulu akitoka kwenye VIP ya Arusha Airport kuelekea kwenye ndege ya Precision .Ilikuwa ni dakika za majonzi na masikitiko kwa kundi lote lililokuwa limemsindikiza uwanja wa ndege Balozi wa Papa ambaye ameondoka leo mjini Arusha kuelekea Dar, baada ya kunusurika katika shambulio la bomu lililorushwa wakati akiwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kanisa la Mt. Joseph Mfanyakazi huko Olasiti Arusha.

NAY WA MITEGO AFANANISHWA NA DEM....CHID BENZ AMTUNGIA JINA NA KUMUITA " NEEMA WA MITEGO"

Ugomvi  wa  chini chini kati   ya Chid benz  na  Ney wa  mitego  sasa  umefikia  pabaya....
Juzi  Ney wa mitego  alionja  kichapo  toka  kwa  mashabiki  katika  show  yake  mbagala....Inadaiwa  kwamba Varangati hilo   lilitokana  na  madai  yake  kwamba   Chid  benz  ni  shoga  na  ametoboa  pua  kama  dem.... 

Mapema mchana huu Chidi Benz amefunguka kupitia ukurasa wake ya Facebook   na  kumtaka  NEEMA  WA  MITEGO(Neema ni jina la  kike )  aache  kumtukana  wala  kumwandika  message  zozote.....Vinginevyo  ataendelea  kuambulia  kichapo


SHIRIMA KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MWEKA MKOANI KILIMANJARO.


MFANYABIASHARA Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji kuzikwa leo kijijini kwao Mweka Moshi Mkoani Kilimajaro.

BALOZI FRANCISCO PADILLA NA ASKOFU LEBULU WAWATEMBELEA MAJERUHI WA BOMU--JIJINI ARUSHA.


Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu, akitoa pole kwa majeruhi wa bomu jana , kushoto ni mwakilishi wa Papa hapa nchini, Askofu Francisco Padilla.

WATWANGANA MAKONDE, MMOJA AFARIKI DUNIA NA MUNGINE KULAZWA HOPSITALI YA BUSERESERE.


Watu wawili (pichani) wamepigana hadi mmoja wao kufa. na moja kalazwa katika hospitali ya Buseresere huku maiti ikihifadhiwa chumba cha maiti cha hospitali hiyo.

MTUHUMIWA WA UGAIDI ARUSHA NI DEREVA PIKIPIKI aka BODABODA.

DEREVA wa pikipiki maarufu kama bodaboda, Victor Ambrose, anatuhumiwa kurusha bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti jijini Arusha, lililosababisha vifo vya watu wawili na wengine karibu 70 kujeruhiwa.

Ambrose mwenye umri wa miaka 20 na mkazi wa Kwa Mrombo, Arusha, anashikiliwa pamoja na watuhumiwa wengine tisa, wakiwemo raia wanne wa Saudi Arabia kwa mahojiano zaidi ya kuhusika na tukio hilo.
 

Taarifa zilizopatikana jana jioni, zilieleza kuwa raia hao wa Saudi Arabia,

waliingia nchini Jumamosi usiku kwa ndege kupitia Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), na baada ya tukio Jumapili, waliondoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya, Namanga. 

FBI WATUA ARUSHA KUCHUNGUZA MLIPUKO KANISA LA OLASITE.


ASKARI wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamewasili mjini Arusha jana asubuhi kwa ajili ya kuongeza nguvu za kuwasaka watu waliohusika na mlipuko wa bomu katika Kanisa la Parokia ya Joseph Mfanyakazi Olasite. 

JESHI LA POLISI LADAIWA KUTUMIWA VIBAYA NA CCM


CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka Jeshi la Polisi nchini livunjwe na ligeuzwe kitengo ndani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Monday, May 6, 2013

BREAKING NEWZZZZ ......... Rais Jakaya Kikwete Afanya mabadiliko ya uongozi kwenye halmashauri za majiji manne kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji na Kuwateua na kuwapandisha vyeo wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa wawili kuwa wakurugenzi wa majiji Kama ifwatavyo..

Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (Tamisemi), Hawa Ghasia

--
Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi kwenye halmashauri za majiji manne kwa lengo la kuongeza ufanisi wa utendaji.

Kwa mujibu wa Padri Festus Mangwangi ambaye ni paroko msaidizi wa kanisa katoliki jimbo la Arusha : ''Waliofariki Kutokana na Mlipuko wa Bomu Arusha Sasa Wafikia Watatu.''



Baadhi ya majeruhi wakiwa wameanguka chini kufuatia shambulio la bomu lililofanywa na mtu asiyejulikana ambapo zaidi ya watu 40 wamejeruhiwa na wengine watatu hali yao ni mbaya; tukio hilo lilitokea katika ibada ya uzinduzi wa kanisa la  Mtakatifu Joseph lililoko kata ya Olasiti, mkoani Arusha jana.Picha na Ferdinand Shayo

BARAZA KUU LA WAISLAMU LALAANI VIKALI MLIPUKO WA BOMU NDANI YA KANISA KATOLIKI

TAMKO LA BARAZA KUU LA WAISLAMU WA TANZANIA BAKWATA JUU YA MLIPUKO WA BOMU - ARUSHA 

Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh.
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania BAKWATA, limepokea kwa masikitiko makubwa tukio la kurushwa bomu Kanisani na kusababisha upotevu wa maisha na majeraha kwa watu wengi wakati wa sherehe ya uzinduzi wa jengo la Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Orasiti, Arusha.

WATU WANANE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA.



Habari zilizotufikia muda si punde unasema, Jeshi la Polisi Mkoani arusha unawashikilia watu nane wakiwemo Raia wanne wa Saudi Arabia na wanne ni Raia wa Tanzania. Watu hawa wako katika mikono ya polisi kwa uchunguzi zaidi.
Tutaendelea kuwapasha habari kadri zinavyotufikia.

BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA YAMREJESHEA UBUNGE AESHI HILALY JIMBO LA SUMBAWANGA.

Photo: Breaking News:Mahakama ya Rufaa Tanzania imemrejeshea ushindi aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) Bwana Aeshi Hilaly dhidi ya mpinzani wake Bwana Norbert Namsebo wa CHADEMA baada ya kubaini mapungufu ya kisheria katika maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu ya Sumbawanga.
Bwana Aeshi Hilaly.

UTAFITI : BANGI INATIBU KANSA.

 Mmea wa Bangi

PICHA: "WANAWAKE WANAWEZA CHEKI HUYU MAMA "

Wanawake wanaweza hata kabla hawajawezeshwa. Sasa wakiwezeshwa wataweza zaidi ya hapo. Ama kweli huyu ndio mwanamke wa ukweli.

JACQULINE WALPER ATUPIWA VIRAGO NJE BAADA YA KUSHINDWA KULIPA KODI.


STAA wa filamu za Kibongo, ''Jacqueline Wolper Massawe'' anadaiwa kutupiwa nje na baadaye kuzuiliwa vyombo vyake kwenye ile nyumba ya kifahari ya kupanga aliyokuwa akiishi Mbezi Beach, Dar es salaam. 

SEHEMU YA NYUMBA ILIYOHARIBIWA NA MLIPUKO WA BOMU JANA- HUKO ARUSHA.

Photo: Hii ni moja ya sehemu ya jengo lililopo katika kanisa la Olasiti,huko Arusha lililolipuliwa jana ambapo zaidi ya watu 60 walijeruhiwa.

Ona vile mlipuko huo ulivyosababisha uharibifu mkubwa sana wa mali za kanisa hilo. Kama unavyoona hapa hili ni jengo la kanisa upande ambapo mlipuko huo ulitokea na kusababisha uharibifu mkubwa sana.

Saturday, May 4, 2013

UNAKUMBUKA ENZI ZA KUCHEZEA MATOPEEE?????


Vipaji hivi vinahitaji kuendelezwa na kukuzwa kwani wataalamu wa maswala mbali mbali huwa wanaanza katika mazingira kama haya.

HAKUNA ZAWADI KUBWA NILIYOPEWA NA MUNGU ZAIDI YAKO DIAMOND...NAKUPENDA SANA"...PENNY HUYOOO


BREAKING NEWZZ : AJALI MBAYA IMETOKEA SEGEREA KATI YA PRADO NA LORI LA MAFUTA!!



RAISI JAKAYA KIKWETE AWAOMBA WAMILIKI WA SHULE BINAFSI KUPUNGUZA ADA ZAO,


SHULE zinazoendeshwa na kumilikiwa na taasisi na watu binafsi, zimetakiwa kurekebisha ada zao ili Serikali iangalie uwezekano wa kushirikiana nazo katika kulipia. Ushauri huo umetolewa na Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa Chama cha Wamiliki wa Vyuo na Shule Binafsi (TAMONGSCO) uliofanyika hivi karibuni katika ukukbi wa Mkapa mjini Mbeya.

BREAKIN NEWZZZ : NDEGE ZA PRECISION AIR ZAPIGWA 'STOP' KURUKA AU KUTUA ZANZIBAR.



Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar (ZRB), imetoa amri ya kuzuia kutua na kuruka kwa ndege za kampuni ya Precision Air Service Co. Ltd, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, kutokana na kutolipa zaidi ya Sh bilioni 37.2 zinazotokana na malimbikizo ya malipo ya ada ya huduma ya uwanja wa ndege.

MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM -DAR AFARIKI DUNIA KWA KULISHWA SUMU NA MKE WA MTU .




Habari   zilizotufikia  toka  IFM- Dar es salaam  ni  kwamba  mwanafunzi  mmoja ambaye  bado  hatujafanikiwa  kulipata  jina  lake  amefariki  dunia  kwa  kulishwa  sumu  katika  chakula  alicholetewa  na  mpenzi  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu......

MFANYA BIASHARA ALIYEJIRUSHA TOKA GOROFA YA TISA AFARIKI DUNIA.



TAARIFA za awali zina arifu kuwa Mfanya Biashara, Costa Shirima anaedaiwa kujirusha kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam inaelezwa kuwa alikuwa asafiri na ndege ya saa 10 jioni kuelekea China kufuata bidhaa za maduka yake.

KABURI LA KANUMBA BOOONGE LA DILI...., SASA UKITAKA KULIONA NI LAZIMA ULIPE TSHS 5,000/= KWANZA..!



KATIKA kile kinachoonekana kwamba ni wizi mtupu, baadhi ya vijana wanaojifanya kutunza Makaburi ya Kinondoni wamebuni njia ya kuwaibiawatu kwa kutumia kaburi la nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Kanumba.Vijana hao hujipatia kipato kwa kuwatoza watu wanaofika makaburini hapo shilingi 5,000 kwa ajili ya kuliona na kupiga picha na kaburi la nguli huyo.  Utafiti uliofanywa na Risasi Jumamosi umebaini kwamba wageni wanaotoka nje ya Dar ndiyo wanaoongoza kwa kulizwa zaidi.

AJALI MBAYA YAUA 7 WENGINE ZAIDI YA 20 WAJERUHIWA -- NYORORO IRINGA



 Moja kati ya ajali ya basi la Taqwa (picha na maktaba yetu)
.......................................................

HIZO NDO PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU




HAWA NDIO WATUMIAJI 11 WA MADAWA YA KULEVYA WENYE AKILI ZAIDI DUNIANI, MMH!!!!.....OBAMA NAE YUMO KATI YAO..



Imeripotiwa kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s Most Powerful People” mwaka huo huo. 




Huku ile ‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu ya yeye kuwa kwenye hii list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye anashika namba 236 kwenye watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa Virgin empire, ambayo inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old son. alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema kama ikiruhusiwa, atauza. 

Michael Phelps 
Jamaa ana medali nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa kilichotokea ni “bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea hakitajirudia tena… hamna kitu kama hicho.. Phelps . It might be his last, but it definitely wasn’t his first. hii inamaanisha kwamba unaweza ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini bado unavuta pia. 




Francis Crick 
Alishinda tuzo ya Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has it that he was on acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma, kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake. 




Barack Obama 
Karibia kila raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka 2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That was the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana ana future gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na akili, unaweza kuwa hata rais. 




Michael Bloomberg 
Ameshawahi kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did. And I enjoyed it!” 




Ted Turner 
Akiwa peke yake aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college. 




Richard Feynman 
Huyu ni mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic bomb. Sikusema wote kwenye list hii wana busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti mbali mbali akiwa maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na nadharia yake ya “quantum electrodynamics.” 




Sergey Brin 
Ana Bachelor of Science kutoka University of Maryland, Masters of Science kutoka Stanford na alichukua kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu zake kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu University of Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za NASA zilizopo Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri zaidi duniani. 




Arnold Schwarzenegger 
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold, marijuana “is not a drug, it’s a leaf.”