Friday, May 10, 2013

PICHA ZA MAZISHI YA WALIOKUFA KATIKA MLIPUKO WA BOM KATIKA KANISA LA MT JOSEPH ARUSHA.

Mapadri wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza  lenyenye mwili wa mmoja wa waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkonokatika kanisa la Olasiti Arusha may 5, 2013. mazishi yaliyofanyika leo 







Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat  Lebulu  akinyunyuzia maji miili ya waumini wa kanisa hilo waliofariki katika tukio la kurushwa  kwa bomu la mkono kwenye kanisa la Olasiti jijini  Arusha  may 10,leo



Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini, Mhashamu Polycarp kaldinari Pengo akiongoza ibada ya mazishi ya waumini wa kanisa hilo waliouwawa katika bomu lililotupwa kwenye kanisa la Olasiti Arusha May 5,2-13. Kushoto ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment