Monday, May 6, 2013

SEHEMU YA NYUMBA ILIYOHARIBIWA NA MLIPUKO WA BOMU JANA- HUKO ARUSHA.

Photo: Hii ni moja ya sehemu ya jengo lililopo katika kanisa la Olasiti,huko Arusha lililolipuliwa jana ambapo zaidi ya watu 60 walijeruhiwa.

Ona vile mlipuko huo ulivyosababisha uharibifu mkubwa sana wa mali za kanisa hilo. Kama unavyoona hapa hili ni jengo la kanisa upande ambapo mlipuko huo ulitokea na kusababisha uharibifu mkubwa sana.

No comments:

Post a Comment