Katika hali isiyo ya kawaida tumepokea taarifa kutoka kwa wafanyakazi wa manispaa kitengo cha makaburi ya kolla wakidai kwamba usiku wa manane wa kuamkia juzii mbuzi nane wamechinjwa eneo la makaburi ya kola mkoani morogoro
Mizoga ya mbuzi hao waliochinjwa katika makuburi hayo kama ilivyokutwa wakati Mwenyekiti wa mtaa huo alipopita kukagua na kujioneo tukio hilo lililotokea katika makaburi ya kola mjini hapa.
Mwenyekiti wa mtaa huo ambaye alifika eneo la tukio na kujionea tukio hilo.akizungumza zaidi mwenyekiti wa mtaa huo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kwenye mtaa wake
Mwenyekiti huyo akipokea taarifa za tukio hilo kutoka kwa mfanyakazi wa makaburi hayo
Mwenyekiti wa mtaa akigeuza mizoga hiyo eneo la tukio ambapo katika mbuzi waliochinjwa mmoja alikuwa na mimba na tulikuta kitoto
cha mbuzi ambacho bado kilikuwa kina umbwa kwenye tumbo la mama yake aliyechinjwa kwenye makaburi hayo
No comments:
Post a Comment