
MFANYABIASHARA Costa aliyefariki Mei 3 mwaka huu kwa kuanguka kutoka gorofa ya tisa ya Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam anataraji kuzikwa leo kijijini kwao Mweka Moshi Mkoani Kilimajaro.
Mwili wa Marehemu Shirima (47), ulisafirishwa jana mara baada ya kufanyiwa misa takatifu na kuagwa na ndugu na jamaa Kanisani Kimara Temboni jijini Dar es Saalam.
Marehemu Shirima alikuwa ni mfanya biashara wa Urembo wa akina mama na alikuwa akimiliki maduka kadhaa Kariakoo pia alikuwa akiendelea na Ujenzi wa Jengo la Gorofa maeneo ya Kariakoo.
Marehemu ameacha Mjane na watoto 5.
No comments:
Post a Comment