
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiana wa Viongozi wenzake katika kuimba wimbo wa Solidarity Foreverwakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani iliyoadhimishwa kitaifa Mkoani Mbeya.

Baadhi ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano yaliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi katika Uwanja wa michezo wa Sokoine mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment